Matokeo Azam vs Gormahia Kagame 11.7.2018

Matokeo Azam vs Gormahia Kagame 11.7.2018

0

Matokeo Azam vs Gormahia Kagame 11.7.2018

Matokeo kati ya Azam Fc mabingwa watetezi wa Kagame Cup dhidi ya Gormahia kutoka Nchini Kenya MOJA kwa Moja kutoka uwanja wa Taifa

Dakika 5

Azam 0 – 0 Gor Mahia

Dakika 10 Bado Matokeo Ni 0 – 0

Dakika 20

Azam Fc 0 – 0 Gor Mahia

Dakika ya 30 Bado matokeo ni 0 kwa 0 Lakini Azam Fc wakoonekana kumiliki zaidi mpira hasa katika eneo lao la Kati Kati lakini wameshindwa kuwa Vizuri kwenye eneo la Umaliziaji

Dakika 40

Azam fC 0 – 0 gOR Mahia

KIPINDI CHA KWANZA KIMEMALIZIKA

Azam Fc 0 – 0 Gor Mahia

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 50

Azam 0 – 0 Gor Mahia

Dakika ya 65 Matokeo Bado ni 0 kwa 0

Dakika ya 75

Azam 0 – 0 Gor Mahia

Dakika ya 80 Kwasasa timu zote zinashambuliana kwa zamu huku zikiwa Makini zaidi kwenye Kujilinda, Huenda Tukashuhudia Dakika 120 Leo kwani matokeo bado ni 0 kwa 0

Dakika 90 za Mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Gor Mahia zimemalizika kwa sare ya bila Kufungana, 0 kwa 0 sasa Kinachofuata ni Dakika 30 za Nyongeza nazo zikiisha kwa sare basi Penati zitaamua.

Dakika 30 za Nyongeza

Dakika ya 91 Azam wanafanya shambulizi lakini wanashindwa kupachika bao, 0 – 0

Goaaaaaaal Dakika ya 92 Ditram Nchimbi anaipatia Azam bao la Kuongoza baada ya Makosa ya walinzi.

Azam 1 – 0 Gor Mahia

Goaaaaal dakika ya 100 Bruce Kangwa anaipatia Azam Fc bao la 2.

Dakika 105

Azam fc 2 – 0 Gor Mahia

DAKIKA 120 ZIMEISHA

Azam Fc 2 – 0 Gor Mahia

Azam Fc wanafuzu kuingia Fainali.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY