Matokeo CECAFA wanawake : Tanzania Vs Kenya 21.7.2018

Matokeo CECAFA wanawake : Tanzania Vs Kenya 21.7.2018

0

Matokeo CECAFA wanawake : Tanzania Vs Kenya 21.7.2018

Michuano ya CECAFA Kwa wanawake inayoendelea nchini Rwanda , Haya ni matokeo ya Moja kwa Moja kati ya Tanzania na Kenya Leo 21.7.2018

Dakika ya 2

Tanzania 0 – 0 Kenya

Dakika 5 Kenya wameanza kwa nguvu kiasi Kuliko Tanzania na mpaka sasa wameshafanya mashambulizi kadhaa langoni mwa Tanzania

Dakika 7, Tanzania vs Kenya

Tanzania 0 – 0 Kenya

Goaaaaaaaal Dakika ya 13 Donisia  Daniel “Ninja” anaipatia Tanzania bao la Kuongoza

Tanzania 1 – 0 Kenya

Goaaaaal Dakika ya 20 Kenya baada ya Kukaa kwa Muda kwenye Lango la Tanzania wanapata bao la kusawazisha kwa Kona ya Moja kwa Moja.

Tanzania 1 – 1 Kenya

Dakika ya 22 Donisia Daniel mfungaji wa Goli la Tanzania anapiga Free Kick inayogonga mwamba na Kurudi uwanjani.

Dakika 25

Tanzania 1 – 1 Kenya

Dakika 30 Zimeshakatika matokeo yakiwa bado ni 1 kwa 1, Kenya wameshapiga Kona 3 na Tanzania Kona 2.

Dakika ya 40 Asha Rashid anatengenezewa nafasi Nzuri na Donisia Daniel Ninja lakini anapiga Shuti golini Kipa anatoa na kuwa Kona

Kipindi Cha Kwanza Kimemalizika kwa Sare ya bao 1 kwa 1, Timu zote zikicheza kwa Kushambuliana kwa Zamu na hata Umiliki wa Mpira Umekuwa hautofatiani sana

HALF TIME

Tanzania 1 – 1 Kenya

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 50

Tanzania 1 – 1 Kenya

Kipa wa Tanzania Fatuma Abdallah anaumia na Anashindwa kuendelea na Mchezo anaingia Najiath Abbas Kuchukua nafasi yake.

Dakika ya 60 Asha Rashid wa Tanzania anapiga Shuti linagonga mwamba wa juu na Kurudi uwanjani

Tanzania 1 – 1 Kenya

Dakika ya 70

Tanzania 1 – 1 Kenya

FULL TIME

Tanzania 1 – 1 Kenya

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY