Matokeo Gor Mahia vs Lydia Ludic 3 July 2018

Matokeo Gor Mahia vs Lydia Ludic 3 July 2018

0

Matokeo Gor Mahia vs Lydia Ludic 3 July 2018

Timu ya Gor Mahia imebanwa mbavu na Timu ya Lydia Ludic mara baada ya Kujikuta wakifanya kazi ya Kuchomoa Magoli mbele ya Timu hiyo ya Burundi.

Lydia ndiyo walioanza kupata bao kisha Gor Mahia wakachomoa, Na kisha kipindi cha Pili Lydia wakaongeza bao na Gor Mahia kuchomoa dakika za Nyongeza kwa mkwaju wa Penati na kufanya matokeo kuwa 2 kwa 2.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY