Matokeo Gor Mahia vs Yanga Shirikikisho leo 18.7.2018

Matokeo Gor Mahia vs Yanga Shirikikisho leo 18.7.2018

0

Matokeo Gor Mahia vs Yanga Shirikikisho leo 18.7.2018

Matokeo Mechi ya kombe la Shirikisho Kati ya Gor Mahia dhidi ya Yanga uwanja wa kasarani jijini Nairobi nchini Kenya.

Mechi imeanza katika uwanja wa Kasarani Gor Mahia vs Yanga

Gor Mahia 0 – 0 Yanga

dakika ya 2 Mpira wa Kurushwa kuelekea Gor Mahia, Gor Mahia vs Yanga

Dakika mwanzo Gor Mahia wanaonekana kuanza kwa Kumiliki Mpira

Dakika ya 4 Papy Tshishimbi anatanguliza Mpira lakini hakuna mchezaji wa Yanga aliyekuwa mbele, Gor Mahia vs Yanga

Gor Mahia 0 – 0 Yanga

Dakika 7 Zimekatika Gor Mahia vs Yanga bado ni 0 kwa 0 katika uwanja wa Kasarani Nairobi Kenya

Dakika ya 10 Youthe Rostand Anainusuru yanga kufungwa.

Dakika ya 11 Gor Mahia wanafanya shambulizi jingine Rostand ANAOKOA na Kisha Abdallah Shaibu Ninja anaokoa na Kuwa Kona, Matokeo Gor Mahia vs Yanga

Dakika ya 14 Inapigwa Kona Nyingine Lango la Yanga nayo Inazaa kona Nyingine, Matokeo Gor Mahia vs Yanga

Dakika 15

Gor Mahia 0 – 0 Yanga

Dakika ya 18 yanga nao wanapata Kona kufuatia Free Kick iliyopigwa na Ibrahim Ajibu, Matokeo Gor mahia vs Yanga

Dakika ya 19 Yanga wanapiga Kona Nzuri ambayo kidogo wapate Bao, Inakuwa Kona Nyingine

Dakika ya 21 Wakati walinzi wa Yanga wakifikiri Jack Tuyisenge ameotea, Jack anawapatia goli Gor Mahia

Gor Mahia 1 – 0 Yanga

Dakika ya 26 Papy Tshishimbi anapenyeza pasi nzuri kwa Buswita lakini mwamuzi anapuliza Filimbi kuonyesha ni Offside kwa Buswita

Dakika 30 zimeshakatika Gor Mahia wakiongoza kwa Umiliki wa Mpira lakini Pia wakiongoza kwa bao 1 kwa 0 Goli la Jack Tuyisenge dakika ya 21

Dakika ya 32 Yanga wanajitahidi Kucheza vizuri kwa Kuonana na Kutengeneza Movie lakini tayari wanaambiwa ni Offside

Dakika ya 36 Juma Mahadhi Anawachukua mabeki wa Gor na Kusababisha Kona.

Inapigwa Kona na Ajibu inazaa kona Nyingine

Dakika ya 39 Juma Mahadhi anawekwa chini, Free Kick kuelekea Gor Mahia umbali wa Mita 20 kuelekea golini

Dakika ya 40

Gor Mahia 1 – 0 Yanga

Dakika ya 41 anapiga Free Kick Ibrahim Ajibu Mpira Unapaa Juu

Dakika ya 45 Ephrem Guikan anaipatia Gor Mahia bao la 2

Gor Mahia 2 – 0 Yanga

HALF TIME

Gor Mahia 2 – 0 Yanga (Tuyisenge, Guikan)

KIPINDI CHA PILI

Gor Mahia 2 – 0 Yanga , Matokeo Gor Mahia vs Yanga

Dakika ya 46 Yanga wanaanza kwa Kushambulia na wanapata Kona

Dakika ya 48 Jack Tuyisenge anaonekana yupo chini aliumia toka mwishoni mwa Kipindi cha Kwanza

Dakika ya 50 Jack Tuyisenge anashindwa kuendelea na mchezo anaingia Francis Mustapha

Dakika ya 53 Yanga wanafanya Mabadiliko anatoka Yohanna Mkomola anaingia Said Mussa Bakari.

Dakika 60 bado Gor Mahia inaongoza kwa bao 2 kwa 0

Dakika ya 62 Youthe Rostand anaokoa Mipira Miwili iliyokuwa hatari langoni mwao.

Dakika ya 64 Haji Mwinyi anajifungwa  baada ya Kuzongwa na Mlinzi wa Gor Mahia

Gor Mahia 3 – 0 Yanga

Dakika ya 70

Gor Mahia bado wanaongoza kwa bao 3 kwa 0

Dakika ya 76 Anatoka Ibrahim Ajibu anaingia Emmanuel Martin

Dakika ya 79 Anatoka Haji Mwinyi anaingia Amis Tambwe

Dakika ya 80 Kahata anatoka anaingia Okeyo, Matokeo Gor Mahia vs Yanga

Dakika ya 82 Said Mussa Bakari anamtengea mpira Mzuri Tambwe lakini Shuti la tambwe linapaa juu ya Lango

Goaaaaal Dakika ya 85 Ephrem Guikan anaipatia Gor Mahia goli la 4

Gor Mahia 4 – 0 Yanga

Dakika ya 90, zimeongezwa dakika 3

FULL TIME

Gor Mahia 4 – 0 Yanga

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY