Matokeo JKU vs Gor Mahia 13.7.2018

Matokeo JKU vs Gor Mahia 13.7.2018

0

Pambano la Kutafuta Mshindi wa tatu michuano ya Kagame Cup 2018 limemalizika kwa Gor Mahia Kutoka Kenya Kupata Ushindi wa Bao 2 kwa 0

Mabao ya K’Ogalo yamefungwa na Mustapha dakika ya 52 na Goli la Pili Onyango dakika ya 89

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY