Matokeo Simba vs APR 2 July 2018 Kagame Cup

Matokeo Simba vs APR 2 July 2018 Kagame Cup

0

Matokeo Simba vs APR 2 July 2018 Kagame Cup

Haya ni Matokeo ya Moja kwa Moja kati ya Simba wenyeji dhidi ya APR kutoka Rwanda mechi za Hatua ya Makundi Kagame Cup 2018.

Mechi Imeanza katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

Dakika ya 3 Simba wanapata Kona.

Inapigwa Kona inakosa madhara langoni mwa APR

Dakika ya 5

Simba 0 – 0 apr

Dakika ya 10

Simba 0 – 0 APR

Dakika ya 15 Simba wanaendelea kucheza moja moja nakutengeneza nafasi lakini Back Line ya APR inaonekana kuwadhibiti vyema washambuliaji wa Simba.

Dakika ya 20 Adam Salamba anataka Kupiga Bicycle kICK lakini Mpira Unagoma.

Dakika ya 21 APR wanafanya shambulizi langoni mwa Simba inakuwa Kona, Inapigwa Kona inakosa madhara, 0  – 0

Dakika ya 25 anaondoka Vizuri Adam Salamba lakini Timing ya Kipa wa APR inafanya kuokoa mpira na Kuwa Kona

Dakika ya 28 Said Ndemla anapewa kadi ya Njano kwa Mchezo usio wa kiungwana

Dakika ya 29 Meddie kagere akielekea Kumsalimia mlinda mlango wa APR beki anawahi na Kuutoa Mpira unaokuwa Kona.

Dakika ya 30

Simba 0 – 0 APR

Dakika ya 34 APR wanafanya shambulizi lenye afya langoni mwa Simba Kipa Ally Salim anakuwa Shujaa kwa Kuokoa hatari.

Dakika 40

Simba 0 – 0 APR

HALF TIME

Simba 0 – 0 APR

KIPINDI CHA PILI

Ngoma imeanza tena uwanja wa Taifa

Simba 0 – 0 APR

Dakika ya 49 APR wanapata Kona, Inapigwa Kona mabeki wanaokoa

Dakika ya 50

Simba 0 – 0 APR

Dakika ya 58 APR wanakosa bao la wazi kabisa langoni mwa Simba

Goaaaaal dakika ya 66 APR wanapata Bao, SImba 0 – 1 APR

Goaaaaaal Dakika ya 72 Simba wanawajibu APR Adam Salamba anaipatia Simba bao la Kusawazisha

Simba 1 – 1 APR

Dakika ya 80 Mpira wa Kichwa uliopigwa na Meddie Kagere unapita Nje Kidogo ya lango la APR

Simba 1 – 1 APR

Dakika ya 85 bado 1 kwa 1

Katika Dakika za Nyongeza Meddie Kagere anasukumwa na Mlinzi wa APR katika eneo la penati refa anafunika Tuta

Meddie Kagere anaipatia Simba bao la Pili kwa Mpira wa Penati

Simba 2 – 1 APR

FULL TIME

Simba 2 – 1 APR (Salamba, Kagere)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY