Matokeo Simba vs Azam leo 13.7.2018 Fainali Kagame

Matokeo Simba vs Azam leo 13.7.2018 Fainali Kagame

0

Matokeo Simba vs Azam leo 13.7.2018 Fainali Kagame

Dakika ya 20

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika 30

Simba 0 – 0 Azam fc

Gooooooo Dakika ya 32 Shabani Idd Chilunda anaifungia Azam goli la kuongoza

Simba 0 – 1 Azam Fc

Half time

Simba 0 – 1 Azam fc

Dakika ya 50

Simba 0 – 1 Azam

Dakika ya 59 anatoka Kaheza anaingia Rashid Juma

Simba 0 – 1 Azam

Goaaaaaal Dakika ya 62 Meddie Kagere anasawazisha bao

Simba 1 – 1 Azam Fc

Dakika ya 63 Kagere amepewa kadi ya njano kwa kuvua jezi yake upande wa kifua

Gooooooo Dakika ya 68 Agrey Moris anaifungia Azam goli la pili kwa free kick ya moja kwa moja

Simba 1 – 2 Azam Fc

Dakika ya 73 ndemla anapata kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya mahundi

Dakika ya 87 Azam wanapat Penati baada ya Mohamed Husseni kumchezea vibaya Mahundi

Anakosaaaaa Razack Abarola anashindwa kufunga goli kwa mkwaju wa penati mnamo dakika ya 89

Simba 1 – 2 Azam Fc

Dakika 4 zimeongezwa

FULL TIME

Simba 1 – 2 Azam Fc

Azam Mabingwa wa Kagame 2018

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY