Matokeo Simba vs Singida United Kagame leo 4 July 2018

Matokeo Simba vs Singida United Kagame leo 4 July 2018

0

Matokeo Simba vs Singida United Kagame leo 4 July 2018

Matokeo mchezo Simba vs Singida United Kagame Cup leo 4 July 2018 uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

Timu ziko uwanjani tayari kwa Pambano

Mechi Imeanza katika uwanja wa Taifa

Simba 0 – 0 Singida United

Dakika ya Kwanza Simba wanapata Kona baada ya Meddie Kagere kuwachukua mabeki wa Singida Anapiga Krosi beki anatoa inakuwa Kona.

Dakika ya 2 Simba wanafanya shambulizi zuri baada ya Kona manyika anapangua

Dakika 5

Simba vs Singida United 4 July 2018 , Simba 0 – 0 Singida United

Dakika 10

Mchezo Simba Vs Singida United mpira unaonekana kuchezwa zaidi katikati ya uwanja, Matokeo yakiwa bado 0 kwa 0

Dakika ya 13 aliondoka Vizuri Mohmmed Rashid lakini anazuiliwa na Kennedy Wilson Juma anayeutoa Mpira nje.

Goaaaaaaaaal Dakika ya 16 Meddie Kagere anaipatia Simba bao la Kuongoza, Kazi nzuri ya Jamal Mwambeleko ambaye amewapiga chenga walinzi wa Singida na Kisha kupiga Krosi safi inayotua kwa Meddie Kagere anayefunga kwa Kichwa

Dakika ya 20 Singida wanapata Kona, Inapigwa Kona Fupi Habib  Kiyombo anajaribu mpira unatua kwa Deo Munishi Dida

Dakika ya 23 Mkongwe Mwinyi Kazimoto anaonekana kuwa fiti anamzunguka Yusuph Kigoma anachezewa madhambi

Dakika 25

Simba 1 – 0 Singida United (16′ Meddie Kagere)

Dakika 30

Simba 1 – 0 Singida United (16′ Meddie Kagere)

Dakika ya 32 Habib Kiyombo anajaribu shuti kali Dida anatoa Mpira unatoka nje.

Goaaaaaaaal Dakika ya 35 Danny Lyanga anafunga bonge ya bao la kusawazisha kwa Bcycle kick baada ya Kiyongo Kupiga Mpira Unaogonga mwamba na Kurudi na Kisha Danny kupiga Bcycle Kick.

Simba 1 – 1 Singida United (16′ Meddie Kagere, 35′ Danny Lyanga)

Dakika ya 40

Simba 1 – 1 Singida United (16′ Meddie Kagere, 35′ Danny Lyanga)

HALF TIME

Simba 1 – 1 Singida United (16′ Meddie Kagere, 35′ Danny Lyanga)

KIPINDI CHA PILI

Simba imeanza kwa Kufanya mabadiliko ya kumtoa Mohammed Rashid na Nafasi yake imechukuliwa na Adam Salamba

Dakika ya 47

Simba 1 – 1 Singida United

Dakika ya 49 John Tibar anaonekana kuwasumbua Wachezaji wa Simba anawekwa chini ni mpira wa adhabu kuelekea Simba, Tibar anapiga mnazi

Dakika ya 55 Moses Kitandu anapiga shuti nje kabisa ya lango, washabiki wanasikika wakilalama

Simba 1 – 1 Singida United

Dakika ya 59 Anaingia Aymerick upande wa Singida United anatoka Mpepo

Dakika ya 65

Simba 1 – 1 Singida United (16′ Meddie Kagere, 35′ Danny Lyanga)

Dakika ya 66 Marcel Kaheza anaingia Kuchua nafasi ya Moses Kitandu

Dakika ya 68 anaingia Amara Diaby anatoka John Tibar kwa SIngida United, 1 -1

Dakika ya 75

Simba 1 – 1 Singida United (16′ Meddie Kagere, 35′ Danny Lyanga)

Dakika ya 79 Meddie Kagere anawakosa bao Singida baada ya Makosa ya Salum kipaga

Dakika ya 85 Jamal Mwambeleko anashindwa kumaliza pambano baada ya kuumia anaingia, Mohammed Hussein

Nizar Khalfan anaingia Kuchukua nafasi ya Kenny Ally Mwambungu, Bado ni 1 kwa 1

Dakika 3 za Nyongeza zimebaki

FULL TIME

Simba 1 – 1 Singida United (16′ Meddie Kagere, 35′ Danny Lyanga)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY