Matokeo Singida United vs JKU Kagame Cup 9 July 2018

Matokeo Singida United vs JKU Kagame Cup 9 July 2018

0

Matokeo Singida United vs JKU Kagame Cup 9 July 2018

Matokeo Kagame Cup Hatua ya Robo Fainali Singida United vs JKU Cup 9 July 2018, Matokeo Ya Moja kwa Moja kutoka Uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

HALF TIME

Singida United 0 – 0 JKU

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 55

Singida United United 0 – 0 JKU

Dakika ya 69 Anaingia Nizar Khalfan anatoka Elita Mpepo Matpokeo yakiwa bado ni 0 kwa 0 na JKU wanaonekana kulisakama zaidi lango la Singida United katika kipindi cha Pili

Dakika 80 Bado 0 kwa 0

Zimeongezwa dakika 3 katika uwanja wa Taifa mechi ya Robo Fainali Singida Vs JKU Matokeo bado ni 0 kwa 0

FULL TIME

Singida United 0 – 0 JKU

DAKIKA 30 ZINAONGEZWA

Dakika ya 92

Singida United 0 – 0 JKU

Dakika 105

Singida United 0 – 0 JKU

DAKIKA 120 ZIMEISHA SASA NI PENATI

Singida United United wanakosa penati ya kwanza

JKU nao wanakosa Penati ya Kwanza

Singida 0 – 0 JKU

Singida wanakosa penati ya Pili

JKU wanapata penati ya Pili

Singida 0 – 1 jku

Singida wanapata penati Yao ya Tatu

JKU wanapata penati yao ya Tatu

Singida 1 – 2 jku

Singida United wanapata penati yao ya Nne

jku Wanapata penati yao ya nne

Singida 2 – 3 JKU

Singida United wanapata Penati yao ya 5

JKU Wanapata penati yao ya 5

Singida 3 – 4 JKU

JKU watacheza na Simba  Nusu Fainali

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY