Matokeo Tanzania vs Ethiopia Leo CECAFA 27.7.2018

Matokeo Tanzania vs Ethiopia Leo CECAFA 27.7.2018

0

Matokeo Tanzania vs Ethiopia Leo CECAFA 27.7.2018

Timu ya wanawake ya Tanzania Kilimanjaro Queens imefanikiwa kupata Ushindi mnene ikicheza dhidi ya Ethiopia katika mashindano ya CECAFA yanayoendelea nchini Rwanda.

Cannavaro akabidhiwa majukumu mengine Yanga

Timu ya Tanzania imefanikiwa kupata ushindi wa mabao manne kwa moja dhidi ya Ethiopia mabao yakifungwa na Mwanahamis Omari, Donisia Minja, Situmai Abdallah na Fatuma Mustapha.

HATMA YA UBINGWA IMEKAA HIVI

Hatma ya Ubingwa kwa Tanzania sasa inabaki kuwa ni mechi ya mwisho kati ya Rwanda na Kenya.

Mpaka sasa Uganda anapoints 7, Rwanda anapoints 4 na akishinda mchezo wa leo anakuwa na Points 7 Pia na Tanzania anapoints 7 pia.

Uganda mpaka sasa anaondoka kwenye kinyang’anyiro kwakuwa amezidiwa magoli ya Kufungwa na Kufunga, Kazi inabaki kwa Rwanda na Tanzania ambapo Rwanda inabidi ashinde si chini ya Goli 6 mpaka 7 kwa 0 ili kumvua Ubingwa Tanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY