Matokeo Tanzania vs Uganda CECAFA 23.7.2018

Matokeo Tanzania vs Uganda CECAFA 23.7.2018

0

Matokeo Tanzania vs Uganda CECAFA   23.7.2018

Matokeo MECHI ya Kagame kwa wanawake kati ya Tanzania na Uganda Moja kwa Moja kutoka uwanja wa Nyamirambo nchini Rwanda

Goaaaaaal dakika ya 17 Asha Rashid Mwalala anaipatia Tanzania Bao la Kuongoza baada ya Kazi Nzuri ya Donisia Daniel.

Dakika 20

Tanzania 1 – 0 Uganda

Goaaaal Dakika ya 22 Donisia Daniel anaipatia Tanzania Goli la Pili baada ya kazi nzuri ya Asha Rashid Mwalala

Dakika 25

Tanzania 2 – 0 Uganda

Gooooooooal Asha Rashid anaipatia Tanzania goli la tatu na Goli lake la Pili yeye binafsi kwenye mchezo wa Leo.

HALF TIME

Tanzania 3 – 0 Uganda

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 50

Tanzania 3 – 0 Uganda

Goaaaaaaaal  dakika ya 52 Tanzania wanapata bao la nne Kupitia kwa Asha Hamza

Dakika ya 65

Tanzania 4 – 0 Uganda

Dakika ya 90 Uganda wanapata bao la kufutia Machozi

FULL TIME

Tanzania 4 – 1 Uganda

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY