Matokeo Ufaransa vs Ubelgiji 10.7.2018

Matokeo Ufaransa vs Ubelgiji 10.7.2018

0

Matokeo Ufaransa vs Ubelgiji 10.7.2018

Matokeo Kombe la Dunia kati ya Ufaransa na Ubelgiji mechi ya Nusu Fainali ya Kwanza utayapata hapa Kwataunit.co.ke

Dakika ya 5 Hazard anaingia anapiga Mpira Langoni walinzi wa Ufaransa wanatoa inakuwa Kona

Dakika 6

Ufaransa 0 – 0 Ubelgiji

Dakika ya 11 Ufaransa wanajaribu kufanya Shambulizi, Kipa wa Ubelgji anakuwa Kizuizi

Dakika ya 15 Hazard anajaribu mkwaju wa langoni mwa Ufaransa mpira Unaenda Nje ya Lango

Dakika ya 17 Matuidi wa Ufaransa anajaribu shuti linalenga lango lakini Kipa anadaka, Bado 0 kwa 0

Dakika ya 18 Hazard anajaribu shuti langoni mwa Ufaransa beki anaugusa na Kuwa Kona

Dakika ya 20 Bundi ameendelea kuwepo mtaa wa Ufaransa Kona Nyingine wanapata Ubelgiji

Inapigwa Kona kipa wa Ufaransa anasave na Kuwa Kona Nyingine

Dakika ya 24 Ufaransa nao wanapata kona.

Dakika ya 25

Ufaransa 0 – 0 Ubelgiji

Dakika ya 30 Giroud anaunganisha mpira Uliopigwa anapiga kichwa lakini mpira haujalenga goli, Unatoka Nje

Dakika ya 39 Ufaransa wanakosa bao la wazi kipa anaokoa na Kuwa Kona

Dakika ya 40

Ufaransa 0 – 0 Ubelgiji

Kipindi cha kwanza Kinaisha kwa sare ya Bila Kufungana

HALF TIME

Ufaransa 0 – 0 Ubelgiji

KIPINDI CHA PILI

Mbungi ya kipindi cha Pili inaendelea.

Ufaransa 0 – 0 Ubelgiji

Goaaaaal Dakika ya 50 Umtiti anaipatia Ufaransa bao la Kuongoza kwa Mpira kichwa baada ya Kona

Dakika ya 55

Ufaransa wanachachamaa kushambulia Lango la Ubelgiji

Ufaransa 1 – 0 Ubelgiji (Umtiti)

Dakika ya 65

Ufaransa 1 – 0 Ubelgiji (50′ Umtiti)

Bado Ufaransa anaongoza bao 1 kwa 0 Mechi ni dakika ya 75

Dakika 90 zimekatika, Zimeongezwa 6

FULL TIME

Ufaransa 1 – 0 Ubelgiji (50′ Umtiti)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY