Matokeo Yanga vs Gor Mahia 29 July 2018

Matokeo Yanga vs Gor Mahia 29 July 2018

0

Matokeo Yanga vs Gor Mahia 29 July 2018

Klabu ya Yanga imeshindwa Kufanya vizuri katika uwanja wake wa Nyumbani wa Taifa ikicheza na Gor Mahia ya Kenya mara baada ya Kufungwa bao 3 kwa 2.

Magoli ya Gor Mahia yaliwekwa Kimyani na George Odhiambo, Jack Tuyisenge na Shakava wakati magoli ya Yanga yakifungwa na Deus Kaseke na Raphael Daud.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY