Matokeo Yanga vs Trans Camp leo 10.7.2018

Matokeo Yanga vs Trans Camp leo 10.7.2018

0

Matokeo Yanga vs Trans Camp leo 10.7.2018

Timu ya Yanga leo imecheza mchezo wa Kirafiki na Timu ya Jeshi ya Trans Camp WAKATI ikiwa kwenye maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Gor Mahia June 18.

Katika mchezo huo umeisha kwa sare ya Bao 1 kwa 1 na Bao la Yanga limefungwa na Ibrahim Ajibu kwa Free Kick.

Katika Mchezo huo Kikosi cha Yanga Kikosi chake Kilikuwa Hivi
1. Youthe Rostand
2. Haji Mwinyi
3. Gadiel Mbaga
4. Juma Makapu
5. Ibrahim Shahibu
6. Papy Tshishimbi
7. Mrisho Ngasa
8. Juma Mahadhi
9. Yusufu Mhilu
10. Pius Buswita
11. Ibrahim Ajibu
Yanga imeanza rasmi mazoezi kuwavaa Gor Mahia mchezo wa Shirikisho july 18, 2018.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY