Mo Dewji hataki Yanga ipotee aandika Ujumbe wa Kuwatakia mema

Mo Dewji hataki Yanga ipotee aandika Ujumbe wa Kuwatakia mema

0

Mo Dewji hataki Yanga ipotee aandika Ujumbe wa Kuwatakia mema

Wakati baadhi ya Washabiki wa Simba wakitamani Yanga izidi kupotea kabisa kutokana na Matatizo yanayowakumbuka kwa sasa ya Kifedha hali ni tofauti kwa Upande wa Boss wao Mohammed Dewji “Mo”

Mohammed Dewji akitumia Ukurasa wake wa Twitter ameandika Ujumbe akiwaombea mema Yanga kutokana na hali waliyonayo kwa sasa.

Mo Dewji Kupitia Twitter ameandika Ujumbe Huu hapo chini kwa Kiingereza Tafsiri ya Kiswahili Ikiwa chini yake,

We need a strong Yanga for Simba to excel. We need a strong Yanga for a better Taifa stars. I pray that young africans get through these difficult times. They need to be calm and regroup.

— Mohammed Dewji MO (@moodewji) July 23, 2018

Akimaanisha

” Tunaihitaji Yanga imara kwaajili ya Simba kuendelea kufanya vizuri zaidi, Tunahitaji Yanga Imara kwa Timu bora ya Taifa, Nawaombea Yanga wayapite magumu wanayoyapitia kwasasa, Wanahitaji kutulia na Kuungana”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY