Mshambuliaji Mpya Simba Apata Ajali Mbaya Ya gari.

Mshambuliaji Mpya Simba Apata Ajali Mbaya Ya gari.

0

Mshambuliaji Mpya Simba Apata Ajali Mbaya Ya gari.

Mshambuliaji Mpya wa klabu ya Simba, Adam Salamba amepata ajali Maeneo ya Vigwaza Bagamoyo Pwani akitokea kwao Shinyanga akirejea Dar kwa ajili ya kujiunga na Kambi ya klabu ya Simba Sc.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hapa kwataunit.co.ke zinaeleza kuwa Salamba alipata ajali hiyo baada ya kugongwa gari lake nyuma na lori akiwa kwenye foleni. Hata hivyo Salamba amesema hajaumia yuko salama ila gari alilokuwa nalo limeharibika kwa nyuma.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY