Muda wa Mechi Simba vs Azam Kagame Cup 13.7.2018

Muda wa Mechi Simba vs Azam Kagame Cup 13.7.2018

0

Muda wa Mechi Simba vs Azam Kagame Cup 13.7.2018

Leo ndiyo leo kwani Mchezo wa Fainali Kagame Cup 2018 utachezwa katika nyasi za uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam kati ya Simba na Azam Fc.

Mechi hiyo msomaji wa Kwataunit.co.ke Itaanza majira ya saa kumi kamili alasiri kwa muda wa Afrika Mashariki.

Kuhusu Vikosi vitakavyoanza, Matokeo ya Moja kwa Moja ungana na nasi mida hiyo Ikifika.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY