Mwinyi Zahera aumizwa na Kichapo cha Gormahia awaomba Uongozi mambo haya matatu

Mwinyi Zahera aumizwa na Kichapo cha Gormahia awaomba Uongozi mambo haya matatu

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Mwinyi Zahera aumizwa na Kichapo cha Gormahia awaomba Uongozi mambo haya matatu

Ama kwa Hakika kile kichapo cha aibu walichokipata Yanga katika uwanja wa Kasarani nchini Kenya kimewaumiza wengi akiwemo kocha mkuu wa Timu hiyo Mwinyi Zahera ambaye alikuwa Jukwaani akishuhudia vijana wake wakiumia na kichapo hiko.

Zahera alikuwa jukwaani kutokana na Kukosa Kibali cha Kufanya kazi na timu ikawa chini ya Noel Mwandila

Baada ya mchezo kocha Mwinyi Zahera amefunga na Kusema ameumizwa  sana na Kichapo walichopkipata na Kuutaka uongozi wa Yanga kufanya mambo matatu.

Jambo la kwanza analolitaka Mwinyi Zahera ni kuhakikisha wachezaji wote wanaohitajika ndani ya kikosi na bado hawajaongezewa mikataba basi wanakamilishiwa usajili haraka.

Jambo jingine akiwataka wachezaji wote ambao wameshasajiliwa kuungana na Timu ili kuweza kufanya mazoezi ya Pamoja ikiwa ni maandalizi ya Msimu na mechi zinazofuata Kombe la Shirikisho.

Lakini jambo jingine alilolisisitiza Mwinyi Zahera amewataka Viongozi kuhakisha Kuan kuwa na Kambi inayoeleweka ili timu iweze kujiandaa vyema.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY