Ni Derby ya Mashemeji Kenya Leo Gor Mahia vs AFC Leopards

Ni Derby ya Mashemeji Kenya Leo Gor Mahia vs AFC Leopards

0

Ni Derby ya Mashemeji Kenya Leo Gor Mahia vs AFC Leopards

Leo nchini Kenya katika uwanja wa Kasarani kutakuwa na moja kati ya Mechi za Kuvutia zaidi nchini Kenya kwa Derby inayofahamika kama Derby ya Mashemeji kati ya Gor Mahia na AFC Leopards.

Derby hiyo inayosubiriwa kwa hamu kubwa nchini Kenya mechi ambayo itaanza majira ya saa tisa kamili alasiri.

Kwataunit.co.ke itakuwa live kukupa matokeo ya Moja kwa Moja kutoka uwanja wa Kasarani Nchini Kenya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY