Post ya Haji Manara baada ya Kupokea kichapo kutoka kwa Azam

Post ya Haji Manara baada ya Kupokea kichapo kutoka kwa Azam

0

Post ya Haji Manara baada ya Kupokea kichapo kutoka kwa Azam

Mara baada ya Simba Kuambulia Kichapo cha bao 2 kwa 1 kutoka kwa Azam Fc na Azam Fc kuwa Mabingwa CECAFA KAGAME CUP kwa mara ya pili Mfululizo Afisa habari wa Simba Haji Manara amewapongeza Azam Fc.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msemaji huyo mwenye maneno mengi anaposhinda jambo fulani ameandika Ujumbe Huu.

“Hongera Azam fc kwa kuwa mabingwa kagame cup
Mmestahili na ushindi wenu dhidi yetu ni halali.. “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY