Post ya Haji Manara baada ya Ushindi dhidi ya JKU

Post ya Haji Manara baada ya Ushindi dhidi ya JKU

0

Post ya Haji Manara baada ya Ushindi dhidi ya JKU

Simba leo imefanikiwa kupenya hatua ya Fainali mara baada ya Kupata ushindi mwembamba wa Bao moja kwa sifuri bao likipatikana kipindi cha kwanza dakika ya 41 kupitia kwa Meddy kagere.

Mara baada ya Mchezo huo Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara akitumia ukurasa wake wa Instagram ameandika Ujumbe Huu.

 

” Mechi ijayo ni ngumu sababu tunajuana vema na kwa kuwa ni fainali..ila sote tumshukuru Mungu kwa uhakika wa kombe kubaki Dar..
Thanks our players and our fans for your support.
Tukutane fainali💪🙏 “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY