Post ya Haji Manara baada ya Yanga kufungwa na GorMahia

Post ya Haji Manara baada ya Yanga kufungwa na GorMahia

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Post ya Haji Manara baada ya Yanga kufungwa na GorMahia

Mara baada ya Yanga kuchezea kichapo cha bao 4 kwa 0 Kombe la Shirikisho mbele ya Gor Mahia ” K’Oalo” Haji Manara ameandika ujumbe Huu kupitia Instagram.

“Mh Rais wangu wakati huu ukikimbizana na ujenzi wa Viwanda nchini na kuinua Uchumi wetu..nakuomba pia utupie jicho na huku..kuna klabu kwa miaka yote imekuwa ikitumia hovyo fedha za kigeni na kulitia aibu Taifa letu..leo Wameifedhehesha Nchi..nnavyokwambia Wamepigwa ARBA
Baba njoo utumbue na huku @magufulijp_”

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY