Ratiba Kagame Cup leo 3 July 2018

Ratiba Kagame Cup leo 3 July 2018

0

Ratiba Kagame Cup leo 3 July 2018

Michuano ya Kagame Cup itaendelea leo kwa Mechi mbili kuchezwa jijini Dar Es Salaam.

Mchezo wa Kwanza utakuwa kati ya Rayon Sports dhidi ya AS Sports mchezo ukichezwa Azam complex saa nane mchana.

Mchezo wa Pili utakuwa kati ya K’Ogalo Gor Mahia watakaocheza na Lydia Ludic mchezo huu utaanza saa kumi kamili alasiri palepale Chamazi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY