Ratiba Kagame Cup leo 4 July 2018 na Muda

Ratiba Kagame Cup leo 4 July 2018 na Muda

0

Ratiba Kagame Cup leo 4 July 2018 na Muda

Michuano ya Soka ya Kombe la Kagame Cup 2018 itaendelea leo kwa Jumla ya mechi nne kuchezwa katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam na uwanja wa Azam.

Katika uwanja wa Azam Fc kutakuwa na mechi kati ya APR na Dakadaha uwanja Mechi Ikianza saa kumi kamili jioni na baadaye saa moja usiku Azam Fc dhidi ya JKU ya Zanzibar.

Na Katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam napo kutakuwa na michezo miwili ambapo Mnyama Simba ataanza mechi ya Mapema saa kumi kamili akicheza na Singida United na Mechi ya Saa moja itakuwa kati ya Vipers dhidi ya Kator.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY