Ratiba Kagame Cup Leo 7 July 2018

Ratiba Kagame Cup Leo 7 July 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Ratiba Kagame Cup Leo 7 July 2018

Michuano ya Kagame Cup 2018 leo itaendelea kwa Jumla ya Mechi 3 Kuchezwa.

Saa nane mchana kutakuwa na Mechi kati ya Rayon Sports ya Rwanda dhidi ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya.

Saa 10 Kamili JKU vs Kator ya Sudan Kusini, Na saa moja Usiku kutakuwa na Mechi kati ya Vipers dhidi ya Azam FC ya Tanzania.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY