Ratiba na Muda mechi za Nusu Fainali Kagame Cup 2018

Ratiba na Muda mechi za Nusu Fainali Kagame Cup 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Ratiba na Muda mechi za Nusu Fainali Kagame Cup 2018

Nusu Fainali ya Michuano ya Kagame Cup 2018 itaendelea 11..2018 Katika uwanja wa Taifa kwa Kushuhudia mechi mbili.

Mechi ya Kwanza itakuwa ni kati ya Mabingwa watetezi Azam Fc watakaoshuka dimbani kucheza dhidi ya Gor Mahia kutoka Kenya mechi Ikianza Saa nane Kamili.

Mechi ya Pili itazikutanisha Mabingwa wa Tanzania bara Simba dhidi ya Mabingwa wa Zanzibar JKU Mechi hii itaanza saa kumi na Moja jioni.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY