Ratiba ya Kagame Cup leo 2 July 2018 na Muda

Ratiba ya Kagame Cup leo 2 July 2018 na Muda

0

Ratiba ya Kagame Cup leo 2 July 2018 na Muda

Baada ya Jana kushuhudia michezo mitatu ikichezwa katika Kagame Cup 2018 leo pia kutakuwa na Jumla ya Mechi mbili ambazo zitachezwa.

Mechi ya Kwanza

Singida United wataanza mchezo wa Mapema majira ya saa nane mchana kucheza dhidi ya Dakadaha ya Somalia.

Mechi ya Pili

Simba ambao ni mabingwa wa Soka nchini watakuwa Dimbani kucheza na APR kutoka nchini Rwanda mechi ikianza majira ya saa kumi kamili alasiri.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY