Sajili 5 zilizokamilika leo kuelekea Ligi Kuu VPL 2018/2019

Sajili 5 zilizokamilika leo kuelekea Ligi Kuu VPL 2018/2019

0

Sajili 5 zilizokamilika leo kuelekea Ligi Kuu VPL 2018/2019

Kwasasa ni kipindi cha Usajili ambapo vilabu mbalimbali vitakavyoshiriki ligi kuu soka ya Tanzania Bara VPL vinzidi kuimarisha vikosi vyao.

Leo Mtibwa Sugar wamewaongezea Mikataba nyota wake wawili Dickson Job na Kibwana Shomari ambao ni nyota wanaocheza timu za vijana za taifa Ngorongoro Heroes.

Wakati mwingine Wanapaluhengo nao wamefanikiwa kuwaongezea Mikataba nyota wake watatu mwaka mmoja ambao ni Jamal Mnyate, Paul Ngalema na Mussa Chibwabwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY