Sajili nyingine iliyokamilika Ligi Kuu VPL 10.7.2018

Sajili nyingine iliyokamilika Ligi Kuu VPL 10.7.2018

0

Sajili nyingine iliyokamilika Ligi Kuu VPL 10.7.2018

Timu mbalimbali zimeendelea kujiimarisha Kwa kuendelea kusajili wachezaji ambao wanaamini wataweza kuzisaidia timu hizo kabla ya dirisha kufungwa.

Klabu ya Kagera Sugar ya nchini Tanzania imekamilisha zoezi la kumsajili Straika wa zamani wa Yanga na Maji Maji ya Songea Jerryson Tegete kwa Kumpa kandarasi ya Mwaka Mmoja.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY