Simba kuwatoa wawili kwa Mkopo kwenda Lipuli ni hawa

Simba kuwatoa wawili kwa Mkopo kwenda Lipuli ni hawa

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Simba kuwatoa wawili kwa Mkopo kwenda Lipuli ni hawa

Wakati Simba ikiwa katika mikakati ya Kuhakikisha kuwa inakikosi cha Kupana kiasi kwamba anayeingia na anayetoka kuwe hakuna tofauti.

Inaelezwa kuwa kuna wachezaji haitaki kuwaacha viwango vyao vikioza kwa Kukaa benchi wakati wanaweza kuwatoa kwa mkopo na kwenda kwenye vilabu ambavyo watakuwa wakipata nafasi ya Kucheza ili viwabgo visipotee.

Taarifa za Kuaminika ambazo kwataunit.co.ke imezipata ni kwamba wachezaji Rashid Juma na Moses Kitandu wapo katika mipango ya Kupelekwa Lipuli Fc ya Mkoani Iringa kwa Mkopo.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY