Simba wafunguka kama Asante Kwasi atacheza au hatacheza leo

Simba wafunguka kama Asante Kwasi atacheza au hatacheza leo

0

Simba wafunguka kama Asante Kwasi atacheza au hatacheza leo

Baada ya Asante Kwasi kuthibitisha kurejea kwake nchini akitokea kwao nchini Ghana watu wengi walijiuliza kuhusiana na kama mchezaji huyo atashiriki kwenye michezo inayofuata kwenye michuano ya Kagame Cup.

Afisa Habari wa Timu ya Simba Haji Manara amefunguka na Kusema kuwa Ni kweli Asante Kwasi amessharejea nchini lakini suala la Kucheza kwenye mchezo dhidi ya Singida United ni suala la Benchi la Ufundi lakini hafikirii kama kwenye mchezo wa Leo atacheza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY