Simba Yakamilisha Usajili wa Mchezaji huyu asaini miaka miwili

Simba Yakamilisha Usajili wa Mchezaji huyu asaini miaka miwili

0

Simba Yakamilisha Usajili wa Mchezaji huyu asaini miaka miwili

Baada ya Kuikosa Saini ya Mchezaji waliyemfukuzia dakika za mwisho Feisal Salum Fei Toto inaelezwa Kuwa Simba jana wamekamilisha usajili mwingine wa Nguvu.

Simba siku ya Jana Ijumaa wamekamilisha Usajili wa Mchezaji wa MTIBWA Sugar Hassan Dilunga ambaye alikuwa akitajwa Yanga kabla ya Yanga kuachana naye baada ya Kusikia Simba nao wameingilia dili hilo.

Taarifa za Kuaminika ambazo kwataunit.co.ke imezipata ni kwamba Dilunga amesaini kandarasi ya Miaka miwili kuitumikia klabu ya Simba ambao ndiyo mabingwa wa Ligi Kuu soka ya Tanzania bara kwa msimu uliomalizika.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY