Singida United kuweka Kambi ya Maandalizi ya Msimu Mwanza

Singida United kuweka Kambi ya Maandalizi ya Msimu Mwanza

0

Singida United kuweka Kambi ya Maandalizi ya Msimu Mwanza

Klabu ya Singida United walima alizeti kutoka kanda ya kati ya Nchi Mkoani Singida wataweka Kambi yao ya Kujiandaa na msimu wa Ligi Mkoani Mkwanza katika jiji la Mwanza.

Kupitia ukurasa wao wa Twitter Singida United wameandika Ujumbe Huu kuthibitisha kuweka Kambi Mwanza wiki Hii.

” FAHAMU: Klabu yetu itaingia kambini wiki hii tayari kwa kuanza Pre Season Camp. Tunategemea kuweka kambi Jijini Mwanza, hivyo tunaomba mashabiki na wadau wa soka, waandishi wa habari ushirikiano wenu wakati wote wa maandalizi ya kuelekea kuanza msimu mpya wa ligi 2018/2019. “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY