Singida wafunguka tetesi za Kaseke kutua Yanga

Singida wafunguka tetesi za Kaseke kutua Yanga

0

Singida wafunguka tetesi za Kaseke kutua Yanga

Klabu ya Singida United kupitia kwa Mkurugenzi wake Festo Sanga amefunguka baada ya tetesi za nyingi kuibuka kuwa Deus Kaseke anarejea Yanga.

Festo Sanga msomaji wa kwataunit.co.ke amesema mpaka sasa hata wao kama Singida United hawajapata barua kutoka Yanga ya kumwitaji Deus Kaseke lakini wapo tayari kukaa nao mezani ili kumalizana nao.

ISHU YA KWENDA SAUZI.

Festo Sanga ameweka wzi kuwa ishu ya Deus Kaseke kwenda Afrika Kusini ni ishu ambayo inafatiliwa na wakala na mpaka sasa kumekuwa na sintofahau ya wapi Kaseke ataelekea kati ya Yanga na Afrika kusini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY