Taarifa mpya Kutoka TFF kuhusu kufungwa kwa Dirisha la usajili 2018/2019

Taarifa mpya Kutoka TFF kuhusu kufungwa kwa Dirisha la usajili 2018/2019

0

Taarifa mpya Kutoka TFF kuhusu kufungwa kwa Dirisha la usajili 2018/2019

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mchana huu limevikumbusha vilabu vyote vinavyoshiriki ligi kuu Tanzania bara na ligi daraja la kwanza kuwa mpaka sasa zimesalia siku 20 pekee kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili msimu 2018/2019.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na idara ya habari na mawasilano ya Shirikisho hilo kupitia kwenye mitandao ya kijamii inaeleza kuwa  dirisha hilo lina tarajiwa kufungwa july 26 mwaka huu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY