Tamko la Simba baada ya Tetesi Kutafutwa Mbadala wa Wawa

Tamko la Simba baada ya Tetesi Kutafutwa Mbadala wa Wawa

0

Tamko la Simba baada ya Tetesi Kutafutwa Mbadala wa Wawa

Baada ya Uwepo wa  Taarifa kuwa Simba ipo kwenye mchakato wa Kutafuta mbadala wa Beki wa Kati Pascal Wawa hasa baada ya Kuonekana kuwa na Makosa kwenye Kagame Cup uongozi wa Simba umetoa Tamko.

Kupitia kwa Afisa habari wa Simba Haji Manara Simba wamesema Taarifa hizo  za Kutafuta mbadala wa Wawa siyo za Kweli na Kuhusu kiwango cha Pascal Wawa ni kawaida kuonekana na Makosa kwani hajacheza kwa Muda Mrefu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY