Tanzania Mabingwa wa CECAFA wanawake 2018

Tanzania Mabingwa wa CECAFA wanawake 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Tanzania Mabingwa wa  CECAFA  wanawake 2018

Timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake Kilimanjaro Queens imefanikiwa kuchukua kwa mara ya Pili Mfululizo kombe la CECAFA.

Tanzania Imefanikiwa kuchukua kombe hilo kwa kuwa na Points 7 sawa na Uganda lakini wakiwa na Faida zaidi kwa Uganda kwani Tanzania inawastani mzuri zaidi wa Magoli ya Kufunga na Kufungwa.

Hii ni mara ya Pili mfululizo kwa Tanzania kuchukua kombe hilo nchini Rwanda mara baada ya mwaka jana kufanya hivyo nchini Uganda.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY