Tetesi VPL : Beki wa Simba kutimikia Azam Fc

Tetesi VPL : Beki wa Simba kutimikia Azam Fc

0

Tetesi VPL : Beki wa Simba kutimikia Azam Fc

Siku kadhaa toka Simba waseme kuwa wataachana na beki wao Juuko Murshid ambaye ananafasi kubwa ya kupata nafasi katika timu za Afrika kusini ikitajwa Super Sport United

Taarifa za kuaminika ambazo kwataunit.co.ke imezipata ni kwamba beki huyo huenda akajiunga na Azam Fc kutokana na dili hilo la Juuko Murshid kwenda Supersport kutoeleweka mpaka sasa.

Azam Fc inaelezwa wako tayari kuweka mpaka milioni 80 kuwalipa Simba  ili kunasa saini ya Juuko Murshid Juuko bado anamkataba wa mwaka mmoja na Simba.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY