Tetesi za Usajili Simba Jioni Hii 17.7.2018

Tetesi za Usajili Simba Jioni Hii 17.7.2018

0
Emmanuel Mseja atoweka Simba

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Tetesi za Usajili Simba Jioni Hii 17.7.2018

Wakati wachezaji wa Simba wakiwa wameanza kurejea Kikosini wale ambao hawakuwa na Kikosi wakati wa Michuano ya Kagame Cup Simba inaelezwa kuwa katika mipango ya Kuvunja kitasa cha Yanga.

Klabu ya Simba inaelezwa wapo katika mipango ya Kumnasa mchezaji Kelvin Yondani ambaye inaelezwa ameshindwa kuungana na Yanga kutokana na kushindwa kumalizana juu ya Mkataba mpya.’

Inaelezwa Yondani huenda akamalizana na Simba kupitia kwa Boss wao Mohammed Dewji ambaye amekuwa hashindwi kutoa Mkwanja anapomtaka mchezaji.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY