Tetesi za Usajili Yanga leo 8 July 2018

Tetesi za Usajili Yanga leo 8 July 2018

0

Tetesi za Usajili Yanga leo 8 July 2018

Siku mbili baada ya Kiungo wa Klabu ya Rayon Sports Pierre Kwizera kusema kuwa mpaka sasa hajafanya mazungumzo na Timu ya Yanga na wala hajasaini mkataba wowote na Yanga kuna mapya yameibuka.

Pierre Kwizera ambaye kwasasa yupo Tanzania na akiwa na Timu yake ya Rayon Sports katika michuano ya Kagame huku akiwa ameshafunga mabao matatu moja kwenye kila mechi inaelezwa kuwa kamati ya usajili ya Yanga ipo mbioni kukaa naye meza moja na Kumalizana naye.

URAHISI WA KUMPATA.

Yanga inaweza isiwe na kazi nzito sana ya kumpata kiungo huyo ambaye amezidi kuwa mcharo kwenye Kagame kwani licha ya Kuwa siyo Straika ila mpaka sasa anamagoli matatu na amefunga kwenye kila mchezo bado moja kwani mchezaji huyo anamaliza mkataba mwezi huu na Rayon kwahiyo atakuwa mchezaji huru.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY