Ulisikia ya Simba kufungwa 6 kwa 0 Uturuki? Simba wenyewe wafunguka haya

Ulisikia ya Simba kufungwa 6 kwa 0 Uturuki? Simba wenyewe wafunguka haya

0

Ulisikia ya Simba kufungwa 6 kwa 0 Uturuki? Simba wenyewe wafunguka haya

Wakati kukiwa na Taarifa za Simba kufungwa bao  6 kwa 0 huko nchini Uturuki katika mchezo wa Kirafiki huku taarifa hizo zikisambazwa na Kituo cha radio cha Clouds Fm klabu ya Simba imeibuka na kutolea tamko ishu hiyo.

Kupitia Ukurasa wa Instagram wa afisa habari wa Klabu ya Simba Haji Manara ameandika Ujumbe Huu kwenda Kwa Clouds Fm.

“Ndugu zangu wa Clouds with do respect mnachotufanyia c haki na mnatukosea sana tena sana!! Leo mmetangaza kwenye Radio yenu Simba imecheza mechi Uturuki na kufungwa 6-0..tunaomba mthibitishe au mkanushe..vinginevyo mtakuwa na nia ovu ya kutudhalilisha na kwa hili hatutawaelewa na hatutakubali!! Mm wajibu wangu pia ni kulinda image ya Club yangu na sipo tayari kuona Chombo chochote kikitangaza taarifa ya uzushi na uongo dhidi ya Simba kwa kisingizio chochote kile..kwa hili nategemea mtachukua hatua stahiki haraka iwezekanavyo .vinginevyo thibitisheni @cloudstv @cloudsfmtz”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY