USAJILI: Ametua nchini Kumalizana na Simba

USAJILI: Ametua nchini Kumalizana na Simba

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

USAJILI: Ametua nchini Kumalizana na Simba

KUkisikia Simba hawatanii ni kweli hawatanii baada ya kususha vifaa ambavyo tayari vimeshaanza kuonyesha kuwa ni bora ndani ya Simba kupitia michuano ya Kagame wameleta mashine nyingine.

Mashine ambayo imetua nchini Tanzania Jana kwaajili ya kumalizana na Simba ni Fabrice Kakule Mugheni kutoka Kiyovu Sports ya Rwanda lakini ni raia wa Congo.

Fabrice Kakule anacheza kama kiungo mshambuliaji Uwanjani huku akiwa bado anaumri ambao ni mdogo kwani amezaliwa July 12 mwaka 1995.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY