USAJILI : Azam Fc yamsajili Danny Lyanga

USAJILI : Azam Fc yamsajili Danny Lyanga

0

USAJILI : Azam Fc yamsajili Danny Lyanga

Mara baada ya klabu ya Azam Fc kuondokewa na Straika aliyekuwa anaonekana wazi kuwa ndiye Nguzo kuu katika safu ya Ushambuliaji Shaban Iddi Chilunda wameamua kumsajili nyota wa Singida United Danny Ruben Lyanga.

Danny Lyanga amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Azam Fc akitokea Singida United walima alizeti kutoka mkoani Singida.

Danny Lyanga kabla ya kujiunga na Singida United alipita katika vilabu kama Fanja ya Oman, Lakini pia akiwahi kucheza katika vilabu kama Coastal Union.

Na pia amewahi kupita katika klabu bingwa ya Soka nchini wekundu wa Msimbazi toka mitaa ya Kariakoo Simba .

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY