Usajili Mwingine Uliokamilika Ligi Kuu VPL 12.7.2018

Usajili Mwingine Uliokamilika Ligi Kuu VPL 12.7.2018

0

Usajili Mwingine Uliokamilika Ligi Kuu VPL 12.7.2018

Wakati siku za kufungwa dirisha la Usajili zikiwa zinahesabika kwani dirisha la Usajili linafungwa July 26 kwa mwaka huu timu mbalimbali zimeendelea kutangaza silaha zake.

Klabu ya Lipuli Fc imemtangaza beki wa Kati Ibrahim Job kutoka Ndanda Fc ambaye alikuwa atue Singida United kwani alikuwa ameorodheshwa kwenye kikosi cha Singida United Kagame Cup lakini alikuwa hajasaini Singida hivyo ameamua kuachana nao na Kujiunga na Lipuli Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY