Usajili mwingine uliokamilika Ligi Kuu VPL Huu hapa

Usajili mwingine uliokamilika Ligi Kuu VPL Huu hapa

0

Usajili mwingine uliokamilika Ligi Kuu VPL Huu hapa

Wakati timu mbalimbali zikiendelea kutangaza wanajeshi wanaowaongeza kwenye vikosi vyao KMC timu iliyopanda ligi kuu msimu huu nayo imezidi kuchukua Vifaa.

KMC ambayo ipo chini ya Kocha Ettiene aliyekuwa Mbao Fc imefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji wa Stand United beki Ali Ali aliyekuwa moja ya walinzi bora wa Kati msimu uliopita.

Ali Ali amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia KMC ambayo ipo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY