Usajili mwingine uliokamilika usiku wa Jana Simba huu hapa

Usajili mwingine uliokamilika usiku wa Jana Simba huu hapa

0

Usajili mwingine uliokamilika usiku wa Jana Simba huu hapa

Ukisikia Simba hawatanii hawatanii kweli na wamekuwa tayari kufanya lolote linapokuja suala la Kumuhitaji mchezaji mzuri ambaye wanaamini anaweza Kuwasaidia kwenye Kikosi chao kwaajili ya ligi Kuu na mashindano mengine kitaifa na Kimataifa ambayo watashiriki.

Simba siku ya Jana wamefanikiwa kumnasa Kiungo mzambia Chama Clatous kutoka katika Klabu ya Dynamos Fc ya Huko nchini Zambia.

Chama Clatous Ni mchezaji mwenye Urefu wa Mita 1.77 akicheza pia katika timu ya Taifa ya Zambia Umri wa Miaka 27 akizaliwa 18 June 1991.

Inaelezwa kuwa Kiungo huyo Chama Clatous ataungana na kikosi cha  Simba katika safari ya KWENDA nchini Uturuki kwenye Kambi ambayo Simba wamepanga Kuifanya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY