Usajili Mwingine uliokamilika VPL 22.7.2018

Usajili Mwingine uliokamilika VPL 22.7.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Usajili Mwingine uliokamilika VPL 22.7.2018

Wakati Dirisha la Usajili nchini Tanzania likiwa limebakiza siku 4 kufungwa klabu Mbali Mbali zimeendelea kukamilisha usajili wa Nyota wanaowahitaji.

Klabu ya Manispaa ya Kinondoni KMC imekamilisha Usajili wa James Msuva (Mdogo wa Msuva) kutoka Mbao Fc.

KMC imempa Mkataba wa Mwaka mmoja James Msuva ambaye msimu uliopita Aling’ara akiwa na Mbao Fc chini ya Kocha Ettiene ambaye kwasasa yupo KMC.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY