Usajili mwingine Uliokamilika Yanga Jioni Hii 26.7.2018

Usajili mwingine Uliokamilika Yanga Jioni Hii 26.7.2018

0

Usajili mwingine Uliokamilika Yanga Jioni Hii 26.7.2018

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara kklabu ya Soka ya Yanga imefanikiwa kukamilisha Usajili wa Mchezaji mwingine  mchana wa Leo

Yanga imefanikiwa kumalizana na Kipa Beno Kakolanya ambaye alisajiliwa na Yanga akitokea Tanzania Prisons na ameitumikia Yanga kwa misimu miwili kabla ya Mkataba wake kumalizika.

Yanga imempa mkataba wa miaka miwili na sasa Beno Atakuwa Yanga mpaka mwaka 2018.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY