Usajili mwingine Uliokamilika Yanga mchana Huu

Usajili mwingine Uliokamilika Yanga mchana Huu

0

Usajili mwingine Uliokamilika Yanga mchana Huu

Klabu ya Singida United imethibitisha kumruhusu mchezaji wake Elisha Muroiwa raia wa Zimbabwe kwenda Yanga mara baada ya Juzi kuthibitisha kuwa wanaachana na Fei Toto na wanakubaliana na Yanga ila wakiwataka wawalipe fedha za awali walizomsajilia.

Elisha Muroiwa ni Mzimbabwe ambaye anacheza nafasi ya beki wa Kulia  na kati pia hivyo kusajiliwa kwake huenda kukapunguza Ile Presha ya wana Yanga juu ya Hassan Kessy ambaye  mpaka sasa usajili wake Yanga umekuwa Haueleweki.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY