USAJILI : Simba wanunua mbuzi kwenye Gunia,Sasa watishiwa kupelekwa FIFA

USAJILI : Simba wanunua mbuzi kwenye Gunia,Sasa watishiwa kupelekwa FIFA

0

USAJILI : Simba wanunua mbuzi kwenye Gunia,Sasa watishiwa kupelekwa FIFA

Klabu ya Simba imeingia katika utata mwingine ikiwa ni kutokana na kufanya mazungumzo na Fabrice Kakule Kiungo mkongo anayecheza Kiyovu Sports.

Kiyovu Sports imeibuka na Kudai kuwa mchezaji huyo bado anamkataba wa mwaka mmoja na Timu ya Kiyovu mkataba unaoisha mwakani Mwezi July.

Rais wa Klabu ya Kiyovu Sports Jean Pierre Kayumba amesema wanaangalia mpango wa kuipeleka Simba FIFA kulalamikia kufanya mazungumzo na mchezaji wao na kuonekana akifanya mazoezi na Simba  wakati  bado anamkataba wa mwaka mmoja.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY